Simba SC 1-0 Mbeya Kwanza | Benjamin Mkapa |NBC PL

Simba SC 1-0 Mbeya Kwanza | Benjamin Mkapa |NBC PL

Naona umenipania rafiki. Lol

Niseme tu ubingwa tunauhitaji hivyo kuteseka kutoteseka niamue tu. 😂😂😂

Jikazeni kiume huenda mukatupita na kuongoza ligi. Teh teh.
Unataka Kombe Kwa Tanga hii 😂 sawa lakini ngoja tuone.

Ni kawaida yenu kuongoza ligi miezi sita alafu mnyama anakuja kubeba ndani ya wiki mbili tu.🤣
 
Unataka Kombe Kwa Tanga hii 😂 sawa lakini ngoja tuone.

Ni kawaida yenu kuongoza ligi miezi sita alafu mnyama anakuja kubeba ndani ya wiki mbili tu.🤣
Na hiyo tofauti ya point imenza kukatika!
 
kampenja kamekazania offside offside, sijui kina chuki binafsi au niaje

Kunywa sana take away hakukufanya uwe bakhresa, mpenja Kutangaza mpira hakukufanyi uujue mpira

Ni jana tu hapo katuletea habari za uchama kwenye soka, sasa anataka kutuambia nini ili kufanya kile anachokikngea tusimpuuze?
Mkuu mpenja ni MbuX3 mwenzio..
 
Hivi kuikosoa timu yako ni jambo la ajabu kwenye mpira? Unamfahamu Roy Keane? ni miongoni mwa ma Legend pale Old Trafford ila huwezi mkuta hata siku moja anasifia sifia Chama lake bovu la Man United
Wewe tunakujua huna lolote ni mamluki tu humu jamvini acha kabisa kujilinganisha na Roy wewe.
 
Mi hawa hata ikitokea wanacheza na jiwe nitashangilia jiwe tu.

Wanamshambulia sana Mbeya Kwanza ila potelea pote nipo nayo Timu yangu ya nyumbani Teh teh. [emoji23]
Umewaona Wanaotetea Ubingwa Magoli Yao Inabidi Wakachukue Simba Princess Kule Ndio Kuna Straika Zaidi Ya Hawa.
 
Hivi kuikosoa timu yako ni jambo la ajabu kwenye mpira? Unamfahamu Roy Keane? ni miongoni mwa ma Legend pale Old Trafford ila huwezi mkuta hata siku moja anasifia sifia Chama lake bovu la Man United
kukosoa sio shida, shida ni pale unapojifanya ni shabiki wa simba na kuongea maneno yako.

mbona wenzio wanaongea kama yanga na mambo yanaenda?.
 
Tena FIFA wakiona hili goli na wakimuona huyu refa aliyechezesha hii mechi wanaweza kumpa tuzo kwa umakini alioutumia kuhalalisha goli,

Kwasababu simbilisi wengi wamepinga hiyo inamaanisha sio kila mmoja ni proffessional kwenye swala la kutafsiri sheria
Umeandika Wewe Aibu Tunaona Sisi Tunaosoma Hichi Ulichokiandika.

Hongereni Mabingwa Watetezi Kwa Ushindi Wa Mastraika Hatari Mafundi Wenye Ubora Mkubwa Mpira Mwingi Ndani Ya Mbeleko.
 
Back
Top Bottom