Simba SC 1-0 Mbeya Kwanza | Benjamin Mkapa |NBC PL

Simba SC 1-0 Mbeya Kwanza | Benjamin Mkapa |NBC PL

Niambie alichofanya Mugalu...
Kuna haja ya kuwa hata sub...?
Kuna team Mugalu watakuja kukwambia "kaa kimya hujui mpira wewe, na sidhani hata kama ulicheza mpira utotoni..Mugalu ni mzuri,anajua kuficha mpira na kukabia juu" and all the rubbish stuff.

Lile li Mugalu ni lilemavu la akili. Kibyongo, jojo (big G) na kuvimba kijinga jinga tu.Motherfucker!
 
Imeisha hiyo.....Points 3 Teyari. Utopolo Mnyama ndo Huyooooo...Kazi mbona mnayo!!
 
Tena FIFA wakiona hili goli na wakimuona huyu refa aliyechezesha hii mechi wanaweza kumpa tuzo kwa umakini alioutumia kuhalalisha goli,

Kwasababu simbilisi wengi wamepinga hiyo inamaanisha sio kila mmoja ni proffessional kwenye swala la kutafsiri sheria
Nilichogundua simba lazima awe BiNgwA
 
Tena FIFA wakiona hili goli na wakimuona huyu refa aliyechezesha hii mechi wanaweza kumpa tuzo kwa umakini alioutumia kuhalalisha goli,

Kwasababu simbilisi wengi wamepinga hiyo inamaanisha sio kila mmoja ni proffessional kwenye swala la kutafsiri sheria
Screenshot_20220206-214622_WhatsApp.jpg

yes
 
Hawajui boli hawa, halafu wamalila wao na mipunga habari za mpira wapi na wapi mzee?

Ni njaa tu jamaa kaamua kujishkiza ili mradi apate chochote kitu
Tokea Dk Ya Kwanza timu Wanajiangusha angusha..Yule Kipa Wao alifaa apewe Red na Sio Yellow Kwa Kujiangusha.Hivi Vitimu yafaa Kucheza huko huko daraja La Kwanza, Huku Premier Vituko!
 
Umeandika Wewe Aibu Tunaona Sisi Tunaosoma Hichi Ulichokiandika.


Hongereni Mabingwa Watetezi Kwa Ushindi Wa Mastraika Hatari Mafundi Wenye Ubora Mkubwa Mpira Mwingi Ndani Ya Mbeleko.
Sasa sheria huzijui utaachaje kuona aibu?

Offise wamecheza mbeya kwanza ile ndo offside, hizi zingine ni fitna na roho mbaya tu
 
Tokea Dk Ya Kwanza timu Wanajiangusha angusha..Yule Kipa Wao alifaa apewe Red na Sio Yellow Kwa Kujiangusha.Hivi Vitimu yafaa Kucheza huko huko daraja La Kwanza, Huku Premier Vituko!
Baada ya kushindiliwa msumali eti ndo vikastuka vikapanda juu kushambulia

Mbeya city walikodi guest ambayo mkataba wake unaisha kesho, so mbeya kwanza walipanga warudi home pamoja na mbeya city halafu wote wakiwa na rekodi moja

Mnaweza kufikiria makosa ya uwanjani waliyoyafanya mbeya kwanza lakini kikuweli hicho kitu ndio kilicho mkera sana Chama
 
Hizi incidence zikija kutokea upande wa pili tusije kuwalaumu GSM,bodi ya ligi wala TFF.

Leo Simba kafaidika nazo inaonekana ni sawa.

Pia siku yanga naye akija kufaidika nazo kusije kuwa na mijadala.

'Eneweiiiii' 5 points on difference with one match on our bag,NBC is going on..[emoji4][emoji12]
 
Simba inabidi iwape nafasi vijana tujue moja.

Lakin sio hawa akina Mugalu. Mechi 7 hana on target hata moja.
 
Ingekuwa Yanga, thread ingetapakaa GSM anaharibu ligi.

Sasa muwe mnatulia hivyohivyo.
 
Nani kafundisha style ya back pass Simba? Timu inakuwa kwenye move halafu anatokea mchezaji badala ya kutafuta mbinu za kupita. Linapiga back pass na kuharibu move. Wachezaji hawafungui, macho yao mafupi. Kifupi timu inacheza hovyo
Umesema ukweli mtupu. Simba BACK PASS zimezidi sana. Hakuna mchezaji anayeangalia kupeleka mpira mbele. Simba inapoteza moves na muda kwa ma backpass yasiyo na maana kabisa. Hili Kocha ni wa kulaumu. Hivi haoni hili tatizo hili kulirekebisha kwenye uwanja wa mazoezi? Nasema tena kocha HAFAI kabisa. Tuliambia Pablo ni muumini wa soka la kushambulia, kushambulia kwa namna gani hakuna mchezaji anayepeleka mpira mbele? Kwa nini na wachezaji hawafungui uwanja na kufanya movements ili kupokea pasi? Kila mtu anajificha nyuma ya wachezaji pinzani. Pablo kaharibu timu. Bure kabisa, aondoke
 
Back
Top Bottom