Unataka Kombe Kwa Tanga hii π sawa lakini ngoja tuone.Naona umenipania rafiki. Lol
Niseme tu ubingwa tunauhitaji hivyo kuteseka kutoteseka niamue tu. πππ
Jikazeni kiume huenda mukatupita na kuongoza ligi. Teh teh.
Ndugu yangu Mimi Leo nipo Simba watelanga kule Senegal unanambiaje
Haukwenda moja kwa moja.Ndio ama ulienda kwA chama
Tupo pamoja leo, ila inabidi mwarabu afungwe mapema kipindi cha kwanzaNdugu yangu Mimi Leo nipo Simba watelanga kule Senegal unanambiaje
Na hiyo tofauti ya point imenza kukatika!Unataka Kombe Kwa Tanga hii π sawa lakini ngoja tuone.
Ni kawaida yenu kuongoza ligi miezi sita alafu mnyama anakuja kubeba ndani ya wiki mbili tu.π€£
Si ndio hayo we ulitaka tushinde ngapi πππ Sasa we mwenye watengeneza nafasi magoli yako wapi? . π
Hahahaaaa. Lol.
Mkuu mpenja ni MbuX3 mwenzio..kampenja kamekazania offside offside, sijui kina chuki binafsi au niaje
Kunywa sana take away hakukufanya uwe bakhresa, mpenja Kutangaza mpira hakukufanyi uujue mpira
Ni jana tu hapo katuletea habari za uchama kwenye soka, sasa anataka kutuambia nini ili kufanya kile anachokikngea tusimpuuze?
Mkuu una uelewa juu ya mpira lakini??Kuna mtaalam nadhani anaye pembeni. Goli ni halali kabisa kwakuwa kuna mtu wa Mbeya Kwanza aliugusa.
Wewe tunakujua huna lolote ni mamluki tu humu jamvini acha kabisa kujilinganisha na Roy wewe.Hivi kuikosoa timu yako ni jambo la ajabu kwenye mpira? Unamfahamu Roy Keane? ni miongoni mwa ma Legend pale Old Trafford ila huwezi mkuta hata siku moja anasifia sifia Chama lake bovu la Man United
Leo mwarabu anakufa mapema tu money hataniangusha.Tupo pamoja leo, ila inabidi mwarabu afungwe mapema kipindi cha kwanza
Kweli mzee kikubwa ndo icho. Point 3 ndo mpango mzima. Simba gufu moyaHaijalishi tumebebwa, kikubwa tumepata point 3[emoji3571][emoji3571][emoji3571]
Umewaona Wanaotetea Ubingwa Magoli Yao Inabidi Wakachukue Simba Princess Kule Ndio Kuna Straika Zaidi Ya Hawa.Mi hawa hata ikitokea wanacheza na jiwe nitashangilia jiwe tu.
Wanamshambulia sana Mbeya Kwanza ila potelea pote nipo nayo Timu yangu ya nyumbani Teh teh. [emoji23]
Wanacheza mechi zetu kama hujuiforward ya simba inasikitisha sana
kukosoa sio shida, shida ni pale unapojifanya ni shabiki wa simba na kuongea maneno yako.Hivi kuikosoa timu yako ni jambo la ajabu kwenye mpira? Unamfahamu Roy Keane? ni miongoni mwa ma Legend pale Old Trafford ila huwezi mkuta hata siku moja anasifia sifia Chama lake bovu la Man United
Umeandika Wewe Aibu Tunaona Sisi Tunaosoma Hichi Ulichokiandika.Tena FIFA wakiona hili goli na wakimuona huyu refa aliyechezesha hii mechi wanaweza kumpa tuzo kwa umakini alioutumia kuhalalisha goli,
Kwasababu simbilisi wengi wamepinga hiyo inamaanisha sio kila mmoja ni proffessional kwenye swala la kutafsiri sheria
Naona refa kaona penalty hapana tutashtuka, akaona akupe kolo offside goal. [emoji1][emoji1]Utopolo bana...Haya Mnyama kashaweka kitu wavuni...Acha Presha Ukupande[emoji3516][emoji2957][emoji2957]