Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Kuna team Mugalu watakuja kukwambia "kaa kimya hujui mpira wewe, na sidhani hata kama ulicheza mpira utotoni..Mugalu ni mzuri,anajua kuficha mpira na kukabia juu" and all the rubbish stuff.Niambie alichofanya Mugalu...
Kuna haja ya kuwa hata sub...?
Nilichogundua simba lazima awe BiNgwATena FIFA wakiona hili goli na wakimuona huyu refa aliyechezesha hii mechi wanaweza kumpa tuzo kwa umakini alioutumia kuhalalisha goli,
Kwasababu simbilisi wengi wamepinga hiyo inamaanisha sio kila mmoja ni proffessional kwenye swala la kutafsiri sheria
Tena FIFA wakiona hili goli na wakimuona huyu refa aliyechezesha hii mechi wanaweza kumpa tuzo kwa umakini alioutumia kuhalalisha goli,
Kwasababu simbilisi wengi wamepinga hiyo inamaanisha sio kila mmoja ni proffessional kwenye swala la kutafsiri sheria
kwani matokeo ngapi bibie wa uto😀 Sasa we mwenye watengeneza nafasi magoli yako wapi? . 😀
Hahahaaaa. Lol.
Tokea Dk Ya Kwanza timu Wanajiangusha angusha..Yule Kipa Wao alifaa apewe Red na Sio Yellow Kwa Kujiangusha.Hivi Vitimu yafaa Kucheza huko huko daraja La Kwanza, Huku Premier Vituko!Hawajui boli hawa, halafu wamalila wao na mipunga habari za mpira wapi na wapi mzee?
Ni njaa tu jamaa kaamua kujishkiza ili mradi apate chochote kitu
uto uliechangamkaNimewaachia nyie msifie, mie ninachotaka ni timu yangu ya Simba ioneshe kandanda Safi na haya mambo yakubebwa bebwa yaishe.
Wangeweza kuelewa tatizo lugha
Tena BINGWA wa HALALI kabisaNilichogundua simba lazima awe BiNgwA
Sasa sheria huzijui utaachaje kuona aibu?Umeandika Wewe Aibu Tunaona Sisi Tunaosoma Hichi Ulichokiandika.
Hongereni Mabingwa Watetezi Kwa Ushindi Wa Mastraika Hatari Mafundi Wenye Ubora Mkubwa Mpira Mwingi Ndani Ya Mbeleko.
Bingwa wa lAZIMATena BINGWA wa HALALI kabisa
Baada ya kushindiliwa msumali eti ndo vikastuka vikapanda juu kushambuliaTokea Dk Ya Kwanza timu Wanajiangusha angusha..Yule Kipa Wao alifaa apewe Red na Sio Yellow Kwa Kujiangusha.Hivi Vitimu yafaa Kucheza huko huko daraja La Kwanza, Huku Premier Vituko!
Bingwa wa lazima kivipi?Bingwa wa lAZIMA
Niendelee kutulia au nichangamke sasa eti Shadeeya?😀😀 tulia hivyo hivyo.
Umesema ukweli mtupu. Simba BACK PASS zimezidi sana. Hakuna mchezaji anayeangalia kupeleka mpira mbele. Simba inapoteza moves na muda kwa ma backpass yasiyo na maana kabisa. Hili Kocha ni wa kulaumu. Hivi haoni hili tatizo hili kulirekebisha kwenye uwanja wa mazoezi? Nasema tena kocha HAFAI kabisa. Tuliambia Pablo ni muumini wa soka la kushambulia, kushambulia kwa namna gani hakuna mchezaji anayepeleka mpira mbele? Kwa nini na wachezaji hawafungui uwanja na kufanya movements ili kupokea pasi? Kila mtu anajificha nyuma ya wachezaji pinzani. Pablo kaharibu timu. Bure kabisa, aondokeNani kafundisha style ya back pass Simba? Timu inakuwa kwenye move halafu anatokea mchezaji badala ya kutafuta mbinu za kupita. Linapiga back pass na kuharibu move. Wachezaji hawafungui, macho yao mafupi. Kifupi timu inacheza hovyo
Hahahaaa. Hivyo hapo umechangamka eee? 🤣🤣🤣Niendelee kutulia au nichangamke sasa eti Shadeeya?