Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 49,759 Reaction score 118,798 Feb 7, 2022 #441 SteveMollel said: Ingekuwa Yanga, thread ingetapakaa GSM anaharibu ligi. Sasa muwe mnatulia hivyohivyo. Click to expand... Nakazia Mkuu.
SteveMollel said: Ingekuwa Yanga, thread ingetapakaa GSM anaharibu ligi. Sasa muwe mnatulia hivyohivyo. Click to expand... Nakazia Mkuu.
Your Majesty JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 3,242 Reaction score 5,345 Feb 7, 2022 #442 Shadeeya said: Hahahaaa. Hivyo hapo umechangamka eee? 🤣🤣🤣 Click to expand... Kama kawaida hapa natafuta ulinzi kujilinda na wananchi wenye hasira kali(na Shadeeya akiwemo) Maadui ni wengi kutoka mitaa ya jangwani. SIMBA NGUVU MOJA
Shadeeya said: Hahahaaa. Hivyo hapo umechangamka eee? 🤣🤣🤣 Click to expand... Kama kawaida hapa natafuta ulinzi kujilinda na wananchi wenye hasira kali(na Shadeeya akiwemo) Maadui ni wengi kutoka mitaa ya jangwani. SIMBA NGUVU MOJA
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Feb 7, 2022 #443 Sasa Utopolo tunavamia uzi kulalamikia goli. Wengine hata mpira hatujatazama ila tunasikia tu sio halali
Sasa Utopolo tunavamia uzi kulalamikia goli. Wengine hata mpira hatujatazama ila tunasikia tu sio halali
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 49,759 Reaction score 118,798 Feb 7, 2022 #444 Troisième Ceil said: Kama kawaida hapa natafuta ulinzi kujilinda na wananchi wenye hasira kali(na Shadeeya akiwemo) Maadui ni wengi kutoka mitaa ya jangwani. SIMBA NGUVU MOJA Click to expand... 🤣 ulinzi huo kwiio. 🤣
Troisième Ceil said: Kama kawaida hapa natafuta ulinzi kujilinda na wananchi wenye hasira kali(na Shadeeya akiwemo) Maadui ni wengi kutoka mitaa ya jangwani. SIMBA NGUVU MOJA Click to expand... 🤣 ulinzi huo kwiio. 🤣