Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Inasikitisha sana na kukatisha tamaaSimba hawana plan B, game nyingi wanacheza same style sijui tuna makocha wa aina gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sana na kukatisha tamaaSimba hawana plan B, game nyingi wanacheza same style sijui tuna makocha wa aina gani?
Anajikuta chama Fala tu huyuSaana kuna muda kashikilia mpira anazunguka nao tu hajui pakuupeleka
Timu nyingi kwa Simba zinapaki bus lakini Simba nao wana formation moja tu kila siku! ajabu sana, makocha wetu wanakaririInasikitisha sana na kukatisha tamaa
Mabingwa bana mbona makasirikoSimba hawana plan B, game nyingi wanacheza same style sijui tuna makocha wa aina gani?
Acha lawama eti timu nyingi ,umbea tuTimu nyingi kwa Simba zinapaki bus lakini Simba nao wana formation moja tu kila siku! ajabu sana, makocha wetu wanakariri
Hivi kwanini wanapaki bus kwa Simba?Timu nyingi kwa Simba zinapaki bus lakini Simba nao wana formation moja tu kila siku! ajabu sana, makocha wetu wanakariri