Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

NBC Premier League kuendelea leo. Mabingwa watetezi Simba SC wakitoka kupata sare mchezo uliopita, leo saa 1:00 usiku kuwaalika Namungo FC ambao nao pia walitoka sare mchezo wao uliopita. Je, leo nani kuondoka na alama 3?

Kwa upande wa Simba, Mkude Anarejea katika nafasi ya kiungo baada ya kuwa nje kwa Muda Mrefu sana. Kwa sasa Simba Ina Majeruhi wengi ambao Watakosekana Kwenye Mtanange huu, Akiwepo Kiungo wa kimataifa Tadeo Lwanga, Sadio, Sokho, Mzamiru Yasini, Chris Mugallu.

Tuwe hapa Kuanzia Sasa Hadi kipute hiki kitakavyo Malizika.
Hao wote ni ndugu usitegemee namungo kumfunga simba, watoto wa baba mmoja lazima namungo ampe ahueni kaka yake tena akidaka yule Nahimana alishagasema anaipenda simba anatamani acheze pale mpaka kmc wakamtupia virago, utegemee kila shuti litakalokuwa linalenga lango ni goli maana tiyali wanae yuda pale golini kwa namungo
 
Kama nyie Jana utopolo mlikuwa na kocha alikuwa wa yanga na mchezaji
 
Inshaallah leo tutakumbuka spices za kutoa biriani safi
 
Ingekuwa vizuri ingechezeshwa kikosi cha zamani,kwa wachezaji wa kigeni kagere,Mugalu ,Tadeo ,Bwalya ,Morison ,Hinoga ndo wachezeshwe maana wana chemistry ya zamani ,hao magarasa mapya mengine waliyoleta yakae nje au yarudishwe kwao
Halafu ucheze wewe ?
 
Inonga Mbakaji amefungiwa mechi tatu kwa ku Mzizou mtu
 
Ingekuwa vizuri ingechezeshwa kikosi cha zamani,kwa wachezaji wa kigeni kagere,Mugalu ,Tadeo ,Bwalya ,Morison ,Hinoga ndo wachezeshwe maana wana chemistry ya zamani ,hao magarasa mapya mengine waliyoleta yakae nje au yarudishwe kwao
Vipi kuhusu Kanoute mkuu 😂
 
Tunashinda leo Simba 2 Namungo 0
Mutashinda na njaa, lakini sio kuwafunga Namungo.
Lao kuna Jambo linaenda kutokea pale kwa Mkapa.

Simba leo anakwenda kupoteza kwenye hii game.
 
Back
Top Bottom