Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

Namungo piga hizo kima...
1 tu linatosha
 
Kuna akili inaniambia kama tulishindwa kumfunga coastal union kwanini Namungo ashindwe kutufunga?
 
Kwa mpira huu lazima tuuwe mtu goli nne
 
Azam inabidi waboreshe kamera zao kuna matukio mengi zinamiss
 
Back
Top Bottom