PovuLabda za kike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PovuLabda za kike
Kwa jinsi simba inavyocheza uwezekano wa kuifunga hata timu ya Ihefu ni sifuri. Naamini watatolewa kombe la shirikisho kwa kufungwa bao nyingi angalau 5 na red arrowsNBC Premier League kuendelea leo. Mabingwa watetezi Simba SC wakitoka kupata sare mchezo uliopita, leo saa 1:00 usiku kuwaalika Namungo FC ambao nao pia walitoka sare mchezo wao uliopita. Je, leo nani kuondoka na alama 3?
Kwa upande wa Simba, Mkude Anarejea katika nafasi ya kiungo baada ya kuwa nje kwa Muda Mrefu sana. Kwa sasa Simba Ina Majeruhi wengi ambao Watakosekana Kwenye Mtanange huu, Akiwepo Kiungo wa kimataifa Tadeo Lwanga, Sadio, Sokho, Mzamiru Yasini, Chris Mugallu.
Tuwe hapa Kuanzia Sasa Hadi kipute hiki kitakavyo Malizika.
Bora ulivyokuwa mkweli mkuuSasa huyu refa anaharibu mpira hata kama ni faida kwa simba ila hii ni extreme
Ni kawaida yeti kuwa wakweli, sio kama nyinyi mlivyokataa kukubali jana.Bora ulivyokuwa mkweli mkuu
kuanzia jana niliwaza labda hili kapu ndo gundu ,huyo naye aiache kwanza nyumbaniHahahaaa jili kapu la magoli linaloonekana hapo kwenye jukwaa la mashabiki kwenye mechi iliyopita lilirudi likiwa tupu sijui leo
Kuna namba ya simu inapita Azam Sport hapo ya kocha wa Simba ,mpigie akuweke no 9.Nasikitika mimi jamani magoli mawili ya wazi nayaona hiviii yani hiviiiii
Ile ni physical contact, ingekua ni foul ambayo unaitafsiri wewe basi ingewekwa penalty maana tukio lilifanyika kwenye penalty boxAsingeweka foul sasa
Weka ushabiki pembeni mkuu Manula katoka golini kwake kamfwata mchezaji kwenye kibendera huyo mchezaji akamtoka manula na manula akamzuia kwa mikono ili asiweze kuleta madhara golini