Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

Hamnaga kitu kama hicho! Ni wachezaji wabovu. Chama na miki waliwaficha sana hawa wachezaji.
Chama na Miki hawakuwa malaika tulikuwa tunafungwa na ku draw pia, hiyo nuksi hao wajinga wamejitia wenyewe, wamejiondoa mchezoni kisaikolojia kwa yale matokeo ya hovyo yasiyotegemewa waliyopata klabu bingwa afrika.
 
Ila yanga wanavyo furahi, kwa mtu asiyejua mwenendo wa ligi anaweza hisi wamechukua tayari ubingwa
Kwa mambo yalivyo sasa wana asilimia kibwa ya kuchukua. Simba tusijidanganye kuwa tutaamka, misimu iliyopita tulikua na chama mikison, msimu huu hamna wa kubadili timu..
Hitimana nae hajui anafanya nini. Mchezaji hapafom hata kama ninkipimdi cha kwanza mtoe...
 
Hiyo najisi hao wachezaji wamejitia wenyewe kwa kutolewa na Galaxy baada ya kuongoza 3-0, sina hamu nao kabisaa
Mwamedi na yule demu wake barabara wametuuza bifu zao zimefanya tuonekane mikia makolo Bata fc inaboa kuitwa kolo
 
Wa
Chama na Miki hawakuwa malaika tulikuwa tunafungwa na ku draw pia, hiyo nuksi hao wajinga wamejitia wenyewe, wamejiondoa mchezoni kisaikolojia kwa yale matokeo ya hovyo yasiyotegemewa waliyopata klabu bingwa afrika.
Wachezaji wazuri walau wangerudi mchezoni mapema, uko sahihi ila simba ya maimu huu pia ni mbovu
 
Goooooooh.Kibu anafunga hapa. Ouups kumbe nilikuwa naota.Jamani wa matopeni mambo ni aje huko ?
 
Hahaha nawe ulifikiri kama mimi, maana ukilicheki lina rangi ya njano

Sasa shabiki gani wa simba akabeba kapu la njano kwenye jukwaa la simba?

Au ndo tuseme kauli ya yule msemaje wetu wa mpito kua simba ina mashabiki ambao hawana chuki kwenye rangi ambazo zinafanana na jezi za yanga?
Hilo kapu tangu aanze nalo gundu tupu
 
Naona Simba tunaenda kucheza 4 4 2 kibu na boco up front naiona shida kwa mhilu na Morrison maana si wakabaji Sana .

Nahisi full Back zetu zitakua nakazi kubwa sana leo kama watashindwa kuwakumbusha kurudi hawa mawinga .

Leo tuna Centre backs wote ambao wako slow inabidi akili itumike sana aisee.

Kila la khery Mnyama
Maelezo meeengi!! wakati mshaolewa
tulieni mcheze mbupu tu
 
Kwa kifupi timu ni mbovu
Timu yetu siyo mbovu Bali imekosa mtu wa kuisuka, imagine combination ya muhilu, kibu na Morrison, Hawa wote hawezi kuanzisha move ya kupasiana maana Kila mtu anajua mpira wa kukimbizana tu na siyo kushambulia kwa kupigiana pasi. Kwangu Mimi ningemuanzisha Duncan Morrison na bwalya then mbele wakae bocco na kagere nahisi biriani linaweza likarudi

Wachezaji wetu ni wazuri sana
 
Back
Top Bottom