Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

Refaree kama ataendelea hivi basi kuna kadi nyekundu atatoa kama sio penati, sio kwa kutubebea hivi
 
Nasikitika mimi jamani magoli mawili ya wazi nayaona hiviii yani hiviiiii
ila hili la kibu ilikua ni offside, hata tungeshinda ingeleta utata baadaye na ndio ingedhihirisha wazi kua tunabebwa
 
[mention]NAWATAFUNA [/mention] na mwenzie yule sijui wapo wap sikuiz
 
"Simba wahame uwanja,watakuja kunishukuru..Haji sio mtu mzuri,kauza ramani kwa adui..." alisikika mzee mmoja kwenye kijiwe cha kahawa!
 
Hivi simba kuna shida gani?Hamasa?Posho hakuna?Uongozi ?Yaani nivuluvulu tuuuu!
 
kuanzia jana niliwaza labda hili kapu ndo gundu ,huyo naye aiache kwanza nyumbani
Hahaha nawe ulifikiri kama mimi, maana ukilicheki lina rangi ya njano

Sasa shabiki gani wa simba akabeba kapu la njano kwenye jukwaa la simba?

Au ndo tuseme kauli ya yule msemaje wetu wa mpito kua simba ina mashabiki ambao hawana chuki kwenye rangi ambazo zinafanana na jezi za yanga?
 
Xx
IMG_20211103_195439_044.JPG
 
Hiyo najisi hao wachezaji wamejitia wenyewe kwa kutolewa na Galaxy baada ya kuongoza 3-0, sina hamu nao kabisaa
 
Back
Top Bottom