Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

Tunazungumzia foul ambayo amecheza manula
Yule katolewa relini Manula katumia excessive nguvu kamsukuma ila hajamblock kwa kutumia miguu au kumvuta shati, wala hakua na lengo la kuumiza.
 
Ile ilikua ni physical contact
Asingeweka foul sasa

Weka ushabiki pembeni mkuu Manula katoka golini kwake kamfwata mchezaji kwenye kibendera huyo mchezaji akamtoka manula na manula akamzuia kwa mikono ili asiweze kuleta madhara golini
 
Yule katolewa relini Manula katumia excessive nguvu kamsukuma ila hajamblock kwa kutumia miguu au kumvuta shati, wala hakua na lengo la kuumiza.
Alitumia nguvu gani?
 
hivi kwanini kibu amekua ni mtu wa kuchezewa foul
 
Back
Top Bottom