Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

Wajilie tuu hizo milioni 100 walizopewa wanenepeane..Simba naipenda
 
Namungo wamepewa kadi nyekundu wanataka kupiga yowe
 
Kama kawaida. Tutashinda wakiwa pungufu.
Ila hii mitimu mingine sijui kwa nini inacheza rafu za kijinga hivi
 
Simba wazingue kama siku ile wapewe nao nyekundu iwe balanced
 
Nilisema huyu refa anatubeba sana matokeo yake wachezaji wa timu pinzani wanapaniki haya tayari kadi nyekundu imetoka tushindwe sisi tu
 
Bocvo kweli ni boko, yasni mzito kama mnyama mwenyewe
 
Dah michezo gani hii kila mechi red card
 
Nilisema huyu refa anatubeba sana matokeo yake wachezaji wa timu pinzani wanapaniki haya tayari kadi nyekundu imetoka tushindwe sisi tu
Anakubeba vipi wakati kadi ni halali au kutoa maamuzi sahihi ndio kubeba?
 
Back
Top Bottom