Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

Ile ni Kadi nyekundu kama anavyostahili Kadi nyekundu Morison
 
Nilisema huyu refa anatubeba sana matokeo yake wachezaji wa timu pinzani wanapaniki haya tayari kadi nyekundu imetoka tushindwe sisi tu
Kadi haina ubishi hiyo hajawabeba Mikia, hiyo ni dangerous play asingetoa red ningeshangaa........ila Mikia mnaweza kuambulia sare vile vile.

NB:Marefa wa Bongo kadi za njano wanazotoa kwa wapinzani wa Yanga na Simba hawatoi kwa wachezaji wa timu hizo kwa makosa yale yale
 
Kiboonge kibooonge iiboiinge mamake toka fasta uwanjani unapoteza muda kipimbi tu
 
Nilisema huyu refa anatubeba sana matokeo yake wachezaji wa timu pinzani wanapaniki haya tayari kadi nyekundu imetoka tushindwe sisi tu
hii ni mpira siyo mieleka ,akajiunge na mieleka
 
Una maamisha afanye kama alivyo fanya kwa mayele jana?
Naamna afanye kama ambavyo tayari kafanya

Mayele haiitaji refa, anahitaji pasi toka kwa Farid ye ni kuringanisha tu bila kujiuliza mara 2
 
Kuna baadhi ya makosa hayafanyiki kwa bahati mbaya, kspombe kathibitisha
 
Huyu kipa wa Namungo ni mjinga ,anabinua kiuno juu makusudi halafu ana act ameumia
 
Back
Top Bottom