Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Sasa kuwamaliza hawa waarabu walainike vzr kisha tuanze kudumbukiza magoli tunamhitaji morrison na banda waingie
 
Kuna habari zinasambazwa mitandaoni,,sio za kuziamini bila chanzo makini Cha kuzitoa hizi habari
 
Nabi alionekana jukwaani

Kaona goli incredible la sakho

Honestly amegundua kwamba ile ng'ombe ilitolewa kwasababu zingine ila sio kwa ajili ya ubora wa kiwango
Ana-scoute Vipaji Kwa Wachezaji Wadogo Wadogo Wa Berkane.

Si Unajua Timu Yetu Imejaa Akina Onyango Na Kina Kagere

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…