Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Timu Yetu Mbona Tunafahamu Vyema Environmental Factors Ndio Zinatupa Kiburi Cha Kusonga Mbele Kama Si Jua Kali Basi Mvua Hadi Uwanja Uwe Jaruba.
Hakuna cha kua kali huyu mtangazaji vipi ebo

Yani simba kushinda iwe sababu ya jua kali, kwani simba wao wamevaa solar panel kwamba hawawi effected na jua?

Watangazaji kama hawa ni kuwatuma ukraine wawe maripota wa habari za vita tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuna uwanja wa mpira kule makambako au makete?

Kwasababu kuna vitimu jeuri huko kwao nako kuna joto, sasa nataka ifanyike namna tukachezee huko endapo tukakutana na timu za namna hiyo
 
Timu Yetu Mbona Tunafahamu Vyema Environmental Factors Ndio Zinatupa Kiburi Cha Kusonga Mbele Kama Si Jua Kali Basi Mvua Hadi Uwanja Uwe Jaruba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cha enviromental factor, usilete points za essay hapa

Hili ndo joto la dar, kama wanafangasi katikati ya mapaja shauri lao maana ni ngumu kukimbia dakika 1 bila kukuna pumb
 
Kuna nini huku mbona kelele nyingi vipi huyo Mbape wa Africa amefanya nini tena huko.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hakuna cha kua kali huyu mtangazaji vipi ebo

Yani simba kushinda iwe sababu ya jua kali, kwani simba wao wamevaa solar panel kwamba hawawi effected na jua?

Watangazaji kama hawa ni kuwatuma ukraine wawe maripota wa habari za vita tu
Tulivyochezeshwa kwenye centigrade 13 sikuile, hawakusema kuwa Simba Sc kafungwa kwasababu ya baridi
 
Back
Top Bottom