Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

KANOUTE + MKUDE Sijawahi kuona patnership mbovu kama hivi Kazi yao ni kucheza stupid foul tu.
 
Hakuna cha jua kali wala jafarai huyu mtangazaji vipi? ebo!

Yani simba kushinda iwe sababu ya jua kali, kwani simba wao wamevaa solar panel kwamba hawawi effected na jua?

Watangazaji kama hawa ni kuwatuma ukraine wawe maripota wa habari za vita tu
 
Hakuna cha kua kali huyu mtangazaji vipi ebo

Yani simba kushinda iwe sababu ya jua kali, kwani simba wao wamevaa solar panel kwamba hawawi effected na jua?

Watangazaji kama hawa ni kuwatuma ukraine wawe maripota wa habari za vita tu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jezi zao zina vipozeo
 
Da yaani nakupendaga balaa.
Ingekua hujaolewa ningeleta zizi la ng'ombe kwenu.
Hamna kitu kitamu kama kuwa na mke wote mnapenda timu moja ,na timu yenyewe Simba .

Asante Mkuu,

Mungu akajaalie upate mke unaemuhitaji tena awe shabiki kindaki ndaki wa Simba SC.

Haya tuendelee kucheck Mpira mzuri naona Ball possession sio ya kitoto tumeupiga mwingi!!!!
 
Leo mkude ana kazi nzito kiungo kimepwaya..kanuti amelegea ila nampa big up sakho dg anajua nini chakufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…