Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Hakuna cha kua kali huyu mtangazaji vipi ebo
Yani simba kushinda iwe sababu ya jua kali, kwani simba wao wamevaa solar panel kwamba hawawi effected na jua?
Watangazaji kama hawa ni kuwatuma ukraine wawe maripota wa habari za vita tu
Mkude mpe Lwanga ili asipate mshawawasha wa kukaba sana, maana yeye si mzuri kwenye kukaba. Zamani alikuwepo Kotei kikaba, kisha mkude kazi yake ni kusambaza upendo tu.KANOUTE + MKUDE Sijawahi kuona patnership mbovu kama hivi Kazi yao ni kucheza stupid foul tu.
Hakuna cha enviromental factor, usilete points za essay hapaTimu Yetu Mbona Tunafahamu Vyema Environmental Factors Ndio Zinatupa Kiburi Cha Kusonga Mbele Kama Si Jua Kali Basi Mvua Hadi Uwanja Uwe Jaruba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikajua issue ya muhimu inayolenga taifa moja kwa moja[emoji23][emoji23][emoji23]Eti ukraine haipo kwenye ramani,,,
Kibu karudi tena hajafanyiwa sub
uto nyie ni offside za Simba tu ndio mnazionaga..Naona kama kuna offside kwenye hilo goal
Tulivyochezeshwa kwenye centigrade 13 sikuile, hawakusema kuwa Simba Sc kafungwa kwasababu ya baridiHakuna cha kua kali huyu mtangazaji vipi ebo
Yani simba kushinda iwe sababu ya jua kali, kwani simba wao wamevaa solar panel kwamba hawawi effected na jua?
Watangazaji kama hawa ni kuwatuma ukraine wawe maripota wa habari za vita tu
Unaumia kutokea wapiNaona kama kuna offside kwenye hilo goal
Ndio michakato ya simba wanashinda kwa sababu ya kuzoea/usugu wa mazingira,mpira hawana kabisaTimu Yetu Mbona Tunafahamu Vyema Environmental Factors Ndio Zinatupa Kiburi Cha Kusonga Mbele Kama Si Jua Kali Basi Mvua Hadi Uwanja Uwe Jaruba.
Sent using Jamii Forums mobile app