Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Tujitahidi kuulinda huu ushindi jamani, hizi dakika za lala salama huwa sio nzuri kabisa.
 
Hahaha hahaha hahaha mpira umeishaa huyu refa hataki ujinga kabisaaa
 
Hawa waarabu wamesusa wakatuondoa kwenye ile rythm yetu
 
Sikuliona hili,nilikuwa naona bado anadai, kinachotufelisha sisi ni hapo kati,kanoute hatimizi majukumu yake ipasavyo.
Second balls nyingi wanawin wao.
Alivyotoka timu ikapoteana yeye ndiye alikuwa anachezesha timu hasa juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…