Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Nilikuwa naangalia mechi ya Zanaco na Waarabu, nikachungulia kidogo kwa MAKOLO kiukweli Refa ndiye mchezaji bora wa MAKOLO, maana kawanyima wapinzani goli la halali kabisa.

Yani Makolo wamekaa kimchongo mchongo tu[emoji1787][emoji16]
Nyie utopolo ndo maana Yule Kocha alisema Ni Nyani na Mbwa. Akili zenu zipo kwenye makalio kama yule kipa wenu ambaye ni shoga. Sasa hivi na msemaji wenu naye anafanywa kabwili hivyo hivyo.....sasa ndo tunaelewa maana ya kauli mbiu yenu kuwa NYUMA MNAWEKA MWIKO.....😁😁😁😁
 
Nadhani msimu Ujao Simba itafute kocha mwenye kujua soka la Africa na ambae amefundisha timu za Africa na kucheza michuano ya kimataifa.

Msimbazi kuna kikoso kizuri except pia hawana STRIKER ILE YA KIBISHI, KAGERE NI TRASH.

Huyu kocha anakosa Psychological tactic Tags za michezo ya Africa.

Ni suala la muda atakuja kuwaliza wanasimba.

I am doubting hata kama anasikiliza huyu kocha . Ni TAKATAKA
Kabwili fc mnashauri bench la ufundi la Simba? Kweli kabisa? Nyie kocha wa Simba anawahusu nini Utopolo? Simba wanampenda huyu huyu....ndo aliyewafikisha hapa Walipo....na soka zuri linaonekana
 
Sasa unategemea nianze kubishana humu Jf na fukara kama wewe?

Wewe kinachokubeba hapa ni hii fake ID vinginevyo uraiani nakununua kabisa na kukuzika ambako hata ndugu zako hawawezi kukupata.
ni mpira tu au jamaa kakugongea mke?
 
Nyie utopolo ndo maana Yule Kocha alisema Ni Nyani na Mbwa. Akili zenu zipo kwenye makalio kama yule kipa wenu ambaye ni shoga. Sasa hivi na msemaji wenu naye anafanywa kabwili hivyo hivyo.....sasa ndo tunaelewa maana ya kauli mbiu yenu kuwa NYUMA MNAWEKA MWIKO.....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Huu ni ushabiki gani? mtu mzima kabisa haya maneno machafu kisa mpira tu!
 
Huu ni ushabiki gani? mtu mzima kabisa haya maneno machafu kisa mpira tu!
Maneno gani ambayo nimeyaongea mimi hapo zaidi ya kunukuu? Luc Eymael hakusema Yanga ni MBWA NA NYANI? Ninyi hamsemi NYUMA KUNA MWIKO? Kipa wenu mliyemfukuza kwa kulazimishwa hakuwa Shoga? Msemaji wenu Si Shoga? Hakuna ambalo nimeweka langu hapo. Yoooote ni kutoka kwenu
 
Ushoga ni tusi baya sana sijui kwanini unamrushia mtu hizo shutuma ilihali huna evidence na hata kama unazo moja ya sifa ya mwanaume ni kukaa kimya kwenye mambo ya kijinga
 
Ushoga ni tusi baya sana sijui kwanini unamrushia mtu hizo shutuma ilihali huna evidence na hata kama unazo moja ya sifa ya mwanaume ni kukaa kimya kwenye mambo ya kijinga
Kusema mtu anachofanya si tusi. Kama Mtu ni mchezaji mpira ukisema ni mwanasoka hujamtukana. Watu hawasemi kitu bila uhakika nacho. Vile tu haifai kupost picha na videos zake humu. Kwa nini unadhani asisingiziwe.... Na hizi tuhuma mlianza kuzileta yanga kipindi flani. Simba wakachunguza wakaona anaharibiwa na Waarabu flani huko....wakamwondoa kwa heshima. Ila tabia haijifichi. Hata mwaka haujaisha yamekuja onekana
 
Yenu ndio hayo mlishindwa nyie sio Simba hata hamu ya kuiga tu hamuoni au kushangaa mlipigwa nje ndani mechi moja tu simba anawakilisha nchi iweje aongoze kundi nyie tangu timu yenu ianze imewahi kuongoza kundi?
Inaongoza makundi ya WhatsApp mbona

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
 
Yenu ndio hayo mlishindwa nyie sio Simba hata hamu ya kuiga tu hamuoni au kushangaa mlipigwa nje ndani mechi moja tu simba anawakilisha nchi iweje aongoze kundi nyie tangu timu yenu ianze imewahi kuongoza kundi?
Teh teh huu utani hivi Yanga kimataifa hajawahi ongoza hata KAGAME CUP[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
FNv2zGQWYAEjMoj.jpeg
 
Back
Top Bottom