Mjamaa1
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,596
- 6,023
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aibu Yao Sijui WatafanyajeWawasindikize mawifi zao[emoji28]
Unajitambua SanaNikiwa kama shabiki nguli wa Young Africans SC naitakia RS Berkane kipigo kitakatifu kutoka kwa mnyama mkali Simba SC.
Mbayaaa😂
Kama na ww FS upo kule utopoloni nmekushusha cheo..nyota zote nmekuvua...nitakuwa na like comments zaku kule MMU baasiNikiwa Sumbawanga mkuu, Simba mna makelele sana siwapendii😀
Kwani Yanga wana shida gani jamani 😂😂 we nishushe vyeo tu haina noma ila Yanga sihamiKama na ww FS upo kule utopoloni nmekushusha cheo..nyota zote nmekuvua...nitakuwa na like comments zaku kule MMU baasi
Achana naye. Jina lake tu JIBU TOSHA[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... babu acha kumsema mdozi wetu
Njoo huku...ni full burudan..huko naona mnapewa ng'ombe tu na mashabik..cjui wameona kuwa washabik wote na wachezaji wote wa yanga ni wamasai?Kwani Yanga wana shida gani jamani 😂😂 we nishushe vyeo tu haina noma ila Yanga sihami
Tumeletewa ng'ombe wa supu leo😂Njoo huku...ni full burudan..huko naona mnapewa ng'ombe tu na mashabik..cjui wameona kuwa washabik wote na wachezaji wote wa yanga ni wamasai?
Duu!huyo ng'ombe kwa sugu alizokuwa nazo supu itakuwa chungu ka shubiriTumeletewa ng'ombe wa supu leo😂
Simba mna wivu hadi kwa ng'ombe aah ndiyo maana siwapendiiDuu!huyo ng'ombe kwa sugu alizokuwa nazo supu itakuwa chungu ka shubiri
Utamaduni wa kiafrika ng'ombe hulipia mahari...sasa ni nani kaposwa hapo kidimbwi?Simba mna wivu hadi kwa ng'ombe aah ndiyo maana siwapendii
Dah kamuulize MayeleUtamaduni wa kiafrika ng'ombe hulipia mahari...sasa ni nani kaposwa hapo kidimbwi?
Hili nafikir manara atalitolea ufafanuzi kama sikosei...naona mnataka kuanza ufugaji baada ya mpira kuwashindaDah kamuulize Mayele
Ohoo, soma vizuri ball possession ☹👺Mbayaaa😂
Sitaki mbayaaaOhoo, soma vizuri ball possession ☹👺
I seeSitaki mbayaaa
Nini mkuu😀I see