Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Kama na ww FS upo kule utopoloni nmekushusha cheo..nyota zote nmekuvua...nitakuwa na like comments zaku kule MMU baasi
Kwani Yanga wana shida gani jamani 😂😂 we nishushe vyeo tu haina noma ila Yanga sihami
 
Waarabu walitotaaaa. Mi nasemaaa maneno maneno ya utopolo waangalie ubao ulikua unasemajee walizidiwaaa. Nilipiga kelele moja alipofunga Papeeee uwiiiiiii Simba raha sana. Nawasalimu sna mashabiki wenzangu kindakindaki wa mnyama wa nyika Simbaaaaa. Tupo pamoja japo kwa kuchelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…