Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Baada ya lile bonanza la jana na wala supu ya risasi na mabomu lebtupo live kushuhudia game inayotambulika na FIFA.

Naona hata kocha wao amekuja kujifunza mbinu za kucheza kimataifa baada ya kumbugiza magoli ya kutosha akiwa na Merreikh na Uto alipopigwa na rivers.
 
Wazee Wetu Hakina Onyango & Kagere Wameanza Na Jua Hili la Sudan Lazima Tupigwe Tukishinda Ni Sare.

Bado Kibu Mchezaji Wetu Mwenye Kutumia Nguvu Nyingi Kuliko Akili. Ana Control Mpira Mara Kausahau Nyuma.

Kwa Kweli Kolo Mwenzangu Leo Hali Ni Mbaya Hapa Taifa
Nikikuwa najiuliza, kichwa kichafu kiko wapi? Karibu mwana Simba Sc mwenzetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu ibariki SIMBA isikose 2:0
 
Naombeni jibu wadau mpira unaonesha kwenye kisimbuzi gn?
 
Umemuona kocha wao amekuja kujifunza mbinu za kucheza kimataifa?? Uto wana cha kujifunza hapa.
 
Tumeshapulizia madawa vyumbani wajiandae kufungwa hawa berkane
Sasa kama mngekuwa nasema hivi mbona hakuna mshabiki angetukana zaidi ya kujua tu kuwa huu ni utani.

Lakini kuna muda mnakuwa wajinga na Kutukana sijui kwanini, kama yule jamaa zero zero.

Haya timu mapokezi..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…