Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
We unamsema mayele kiania tumekustukiaKiufupi anavizia tu hana maajabu yoyote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unamsema mayele kiania tumekustukiaKiufupi anavizia tu hana maajabu yoyote.
Nikikuwa najiuliza, kichwa kichafu kiko wapi? Karibu mwana Simba Sc mwenzetu.
Nikikuwa najiuliza, kichwa kichafu kiko wapi? Karibu mwana Simba Sc mwenzetu.
Mungu ibariki SIMBA isikose 2:0Leo ni sikukuu kwa wapenda kandanda nchini Tanzania.
Mnyama Mkubwa mwituni, Simba Sc atashuka katika dimba la Benjamin Mkapa kucheza dhidibya RS Berkane ya Morocco majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.
Simba itaingia dimbani huku ikiwakaribisha nyota wake waliotoka majeruhi kama Chris Mugalu, Kibu Denis, Jonas Mkude, Tadeo Lwanga, Bwalya huku ikiwakosa Hassan Dilunga na Chama (ambaye sheria zinambana)
Simba itahitaji ushindi wa hali kwa mali ili kujiwekq katika nafasi nzuri ya kufuzu kwenda robo fainali ya michuano hiyo.
RS Berkane wakiwa ugenini wamekuwa na tabia ya kuruhusu magoli hivyo Simba ikitulia vizuri leo wanaweza wakavuna alama 3 muhimu.
Mechi ni saa 10:00 kupitia Utv ya Azam Tv.
Mijadala, updates na yote kuhusu mechi hii utapata dondoo kupitia uzi huu...karibuni sana
Simba nguvu moja!!
Sijui Rivers walitokaje tu ile mechi.Tumeshapulizia madawa vyumbani wajiandae kufungwa hawa berkane
Umemuona kocha wao amekuja kujifunza mbinu za kucheza kimataifa?? Uto wana cha kujifunza hapa.Wazee Wetu Hakina Onyango & Kagere Wameanza Na Jua Hili la Sudan Lazima Tupigwe Tukishinda Ni Sare.
Bado Kibu Mchezaji Wetu Mwenye Kutumia Nguvu Nyingi Kuliko Akili. Ana Control Mpira Mara Kausahau Nyuma.
Kwa Kweli Kolo Mwenzangu Leo Hali Ni Mbaya Hapa Taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh!Si rahisi hivyoFull time:
Simba 4 -1 Berkane
I'll be back!!
Sometimes Vice Versa Is True.Full time:
Simba 4 -1 Berkane
I'll be back!!
Mungu ibariki SIMBAFull time:
Simba 4 -1 Berkane
I'll be back!!
Let's wait and see..nitakurudia saa 12 kukukumbusha!!
Sasa kama mngekuwa nasema hivi mbona hakuna mshabiki angetukana zaidi ya kujua tu kuwa huu ni utani.Tumeshapulizia madawa vyumbani wajiandae kufungwa hawa berkane
Umemuona kocha wao amekuja kujifunza mbinu za kucheza kimataifa?? Uto wana cha kujifunza hapa.