Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Ile Kamati ya ufundi inayoongozwa na Mzee Dalali na Gentamicin hadi sasa haijatoa muelekeo wa Matokeo ya mechi.

Kila la kheri Mnyama. Ushindi wenu utaisaidia nchi iendelee kuwa na uwakilishi wa timu nne .
 
Ni kweli baada ya kuona paka amekuwa mzembe Leo mmeleta Fisi!? Mmetumia shilingi ngapi kumleta huyo fisi?
 
Leo ni sikukuu kwa wapenda kandanda nchini Tanzania.

Mnyama Mkubwa mwituni, Simba Sc atashuka katika dimba la Benjamin Mkapa kucheza dhidibya RS Berkane ya Morocco majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

Simba itaingia dimbani huku ikiwakaribisha nyota wake waliotoka majeruhi kama Chris Mugalu, Kibu Denis, Jonas Mkude, Tadeo Lwanga, Bwalya huku ikiwakosa Hassan Dilunga na Chama (ambaye sheria zinambana)

Simba itahitaji ushindi wa hali kwa mali ili kujiwekq katika nafasi nzuri ya kufuzu kwenda robo fainali ya michuano hiyo.

RS Berkane wakiwa ugenini wamekuwa na tabia ya kuruhusu magoli hivyo Simba ikitulia vizuri leo wanaweza wakavuna alama 3 muhimu.

Mechi ni saa 10:00 kupitia Utv ya Azam Tv.

Mijadala, updates na yote kuhusu mechi hii utapata dondoo kupitia uzi huu...karibuni sana

Simba nguvu moja!!
DSTV vp hawarushi hii game.?
 
20220313_150237.jpg
 
Back
Top Bottom