Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuanzia 3000Kiingilio bei gani niende chaap
Labada yuko kwa mwamposaMwana Simba mwenzetu, Kichwa Kichafu bado hajauona huu uzi?
Amka utakojoa kitandaniSimba1-3 Rc berkane
Acha kumsakizia matatizo mwenzakoTuisila nipigie hawa makolo
DSTV vp hawarushi hii game.?Leo ni sikukuu kwa wapenda kandanda nchini Tanzania.
Mnyama Mkubwa mwituni, Simba Sc atashuka katika dimba la Benjamin Mkapa kucheza dhidibya RS Berkane ya Morocco majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.
Simba itaingia dimbani huku ikiwakaribisha nyota wake waliotoka majeruhi kama Chris Mugalu, Kibu Denis, Jonas Mkude, Tadeo Lwanga, Bwalya huku ikiwakosa Hassan Dilunga na Chama (ambaye sheria zinambana)
Simba itahitaji ushindi wa hali kwa mali ili kujiwekq katika nafasi nzuri ya kufuzu kwenda robo fainali ya michuano hiyo.
RS Berkane wakiwa ugenini wamekuwa na tabia ya kuruhusu magoli hivyo Simba ikitulia vizuri leo wanaweza wakavuna alama 3 muhimu.
Mechi ni saa 10:00 kupitia Utv ya Azam Tv.
Mijadala, updates na yote kuhusu mechi hii utapata dondoo kupitia uzi huu...karibuni sana
Simba nguvu moja!!