Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo hapa saa 12 jionAmka utakojoa kitandani
kikosi ni kizuri, ila bwalya now days hakazi sana sio kama zamani
Kwa namna Kikosi alivyoweka Kocha ni mfumo wa 4-2-3-1.Hapo mfumo gani unafaa wakuu?
Ni bora hata hiyo inside 10 angeanza Morrison.kikosi ni kizuri, ila bwalya now days hakazi sana sio kama zamani
Wanarusha SS Variety 3DSTV vp hawarushi hii game.?
Ila mara nyingi namuona morrison kama plan B ambapo amekuwa bora zaidi anapoingia kama sub kuliko akianzaNi bora hata hiyo inside 10 angeanza Morrison.
Bwalya anapenda sana kudrible mpira kuliko kupiga penetration pass kwa attacking players.
Hii hata Kocha Gomez alikuwa anamtumia hivyo..!Ila mara nyingi namuona morrison kama plan B ambapo amekuwa bora zaidi anapoingia kama sub kuliko akianza
Kiufupi anavizia tu hana maajabu yoyote.Ila mara nyingi namuona morrison kama plan B ambapo amekuwa bora zaidi anapoingia kama sub kuliko akianza
Daaah huyu Kibu huyu sijui kampa nini Pablo, Kanoute nae hayuko form kabisa.
Tuna imani na Berkane