Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Kibu kabla hajachoka atawapeleka puta waarabu
 
Ngoma Nagwa hii..

Maana ule uchafu tunaofanyaga kwa mkapa,hawa barkane wapo aware on it.
 
kikosi ni kizuri, ila bwalya now days hakazi sana sio kama zamani
Ni bora hata hiyo inside 10 angeanza Morrison.

Bwalya anapenda sana kudrible mpira kuliko kupiga penetration pass kwa attacking players.
 
Ila mara nyingi namuona morrison kama plan B ambapo amekuwa bora zaidi anapoingia kama sub kuliko akianza
Hii hata Kocha Gomez alikuwa anamtumia hivyo..!

Akianza anakuwa hana maajabu sijui anakuwa vipi..! kuliko aikiingia Sub.
 
Wanamsimbazi Wenzangu Hii Mechi Hata Tukipoteza Bado Kutakuwa Na Mbili Zaidi.

Maana Hawa Wachezaji Wetu Wazee Leo Na Jua Hili Kama La Saa Saba Naona Watachemka Kwa Uzee Ule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom