Simba SC 1-1 Tanzania Prisons | Mkapa Stadium | VPL

Simba tunataka ushindi kuanzia goli 3
 
Hawa kenge wametuzoea, tuwagonge kama 7 hivi kuwashikisha adabu

Mkuu, ''kimpira'' ni vigumu sana kuwafunga magoli 7 Tanzania Prisons. Pengine hii ndio timu ngumu zaidi kuifunga ''mvua ya magoli'' kuliko timu zote zinazoshiriki ligi kuu.

Hawa jamaa wanajua sana kucheza defensive game. Endapo wataamua ''kufunga duka'', wanaweza kulinda goli hata kwa dakika 250.
 
Nakubaliana na wewe mkuu, kauli yangu ilikuwa ni ya kimihemuko zaidi si ya kiuhalisia.
 
Hawa tunawavuruga kuanzia dk ya kwanza? Kweli hawa jamaa wanajua kuzuia utafikiri wao siku zote wanafanyq mazoezi ya kuzuia tu.
 
Hizi Ndorobo leo lazima zikale ugali wanaokula Wafungwa wao
 
Njiani kuelekea kibanda umiza kwa ajili ya updates
 
Sioni umuhimu wa kubana pumb# leo, hawa magereza hawawezi sumbua Mnyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…