Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa kenge wametuzoea, tuwagonge kama 7 hivi kuwashikisha adabu
Nakubaliana na wewe mkuu, kauli yangu ilikuwa ni ya kimihemuko zaidi si ya kiuhalisia.Mkuu, ''kimpira'' ni vigumu sana kuwafunga magoli 7 Tanzania Prisons. Pengine hii ndio timu ngumu zaidi kuifunga ''mvua ya magoli'' kuliko timu zote zinazoshiriki ligi kuu.
Hawa jamaa wanajua sana kucheza defensive game. Endapo wataamua ''kufunga duka'', wanaweza kulinda goli hata kwa dakika 250.
Hawa tunawavuruga kuanzia dk ya kwanza? Kweli hawa jamaa wanajua kuzuia utafikiri wao siku zote wanafanyq mazoezi ya kuzuia tu.Mkuu, ''kimpira'' ni vigumu sana kuwafunga magoli 7 Tanzania Prisons. Pengine hii ndio timu ngumu zaidi kuifunga ''mvua ya magoli'' kuliko timu zote zinazoshiriki ligi kuu.
Hawa jamaa wanajua sana kucheza defensive game. Endapo wataamua ''kufunga duka'', wanaweza kulinda goli hata kwa dakika 250.
ManulaTunaomba line up pls.
Mchezaji mjinga kama huyu ndio mnamfuata wote kumtengenezea mazingira ya red card, anatoka nje kwa akili zake fupi, then pengo lake ndio mnalitumia kama uchochoro wa kupita kwa raha zenu, next time hatarudia huo ujinga.Haji manara post yake kabla ya game hio saa 1View attachment 1721895