Simba SC 1-1 Tanzania Prisons | Mkapa Stadium | VPL

Hawa Magereza ni kama wamekamia hivi na wamekariri..ila soon kitaeleweka!
 
Simba anapata penalt baada ya mchezaji wa prison kunawa mpira kwenye penalty box
 
Kipa kaicheza penalty inakuwa kona.
 
Anakwenda kupiga chris mugalu

Kipa anacheza inaenda nje inakuwa kona
 
Penalty missed hapa uwanjani.........asante Jeremia Kisubi
 
Wanangu hii game tunashinda...wala msiwaze!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…