Simba SC 1-1 Tanzania Prisons | Mkapa Stadium | VPL

Simba SC 1-1 Tanzania Prisons | Mkapa Stadium | VPL

Hawa Magereza ni kama wamekamia hivi na wamekariri..ila soon kitaeleweka!
 
Simba anapata penalt baada ya mchezaji wa prison kunawa mpira kwenye penalty box
 
Anakwenda kupiga chris mugalu

Kipa anacheza inaenda nje inakuwa kona
 
Wanangu hii game tunashinda...wala msiwaze!
 
Back
Top Bottom