Simba SC 1-1 Tanzania Prisons | Mkapa Stadium | VPL

Tatizo prisons wanakamia sana hadi kero, yaani hapa ni kuomba tushinde na wachezaji wawe salama
Kamia kwa kucheza football, piga pasi nyingi, fanya pressing, shambulia . Hivi ndivyo unavyotakiwa kukamia, sio kucheza rafu nyingi na kulala kupoteza muda, huo ni u5enge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…