Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Katika wote wanaweza wakawa na afadhali ila sio kwa kagereYaani saivi imeshakuwa kawaida kukosa penati, kwanini asiwepo mpigaji mmoja anaeleweka, jinga sana haya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika wote wanaweza wakawa na afadhali ila sio kwa kagereYaani saivi imeshakuwa kawaida kukosa penati, kwanini asiwepo mpigaji mmoja anaeleweka, jinga sana haya
Tatizo prisons wanakamia sana hadi kero, yaani hapa ni kuomba tushinde na wachezaji wawe salamaHuu ni mpira au ngumi
Hii kadi itawatia adabu.Tatizo prisons wanakamia sana hadi kero, yaani hapa ni kuomba tushinde na wachezaji wawe salama
Zinacheza kihuni sana kama ndondoHivi ni lini hizi timu za kijeshi zitaondolewa kwenye ligi?
vip nani kakosa penatiWanaboa sana simba kwenye penati, waache ujinga ase
Kamia kwa kucheza football, piga pasi nyingi, fanya pressing, shambulia . Hivi ndivyo unavyotakiwa kukamia, sio kucheza rafu nyingi na kulala kupoteza muda, huo ni u5engeTatizo prisons wanakamia sana hadi kero, yaani hapa ni kuomba tushinde na wachezaji wawe salama
Wanaonyesha hawajafika hapo kwa bahati mbaya.Raja 0-0 Namungo...half time!
Nani kapewa red simba au prisonHuyu **** kapewa anachostahili. uchezaji gani huo
Afande Jumanne El-fadhirNani kapewa red simba au prison
Ni kwamba hujamfahamu amavip nani kakosa penati
Jamaa hua namuelewa sana naona kaambukizwa utaahira na akina Asukile.Afande Jumanne El-fadhir
Ambapo uto haipo kwenye listTungepata timu 6 kama prison basi tungekua na ligi dume sana