kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
Sawa tu ila tukifungwa uwa atuchanganyikiwi kama nyinyi Uto.
Tunarekebisha makosa tunainuka kisha tunasonga mbele.
Eeh naona mnarekebisha makosa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa tu ila tukifungwa uwa atuchanganyikiwi kama nyinyi Uto.
Tunarekebisha makosa tunainuka kisha tunasonga mbele.
Kocha hana shidaHuyu kocha wa Simba ajitathmini
Mapema mno mermbo afadhar wa kwenu kuliko kaze mkazeni yule alikuwa kitukoHuyu kocha wa Simba ajitathmini
Kha jamani mbona mapema kumjadili??Huyu kocha wa Simba ajitathmini
Weeee, Kocha yuko suppaHuyu kocha wa Simba ajitathmini
Jamaa walisema watacheza pira Dona harage nadhan ndio hiliWachezaji wa Simba walidharau mechi hii tumepata aibu duu.
Pamoja na kochaWachezaji wa Simba walidharau mechi hii tumepata aibu duu.
*****.......wapo 9 tu wanawatoa udendaHawa jamaa sio binadamu hahahaha
Na game ya kwanza walidharau pia??Wachezaji wa Simba walidharau mechi hii tumepata aibu duu.
Ila huwa panauma ety🤣🤣Sawa tu ila tukifungwa uwa atuchanganyikiwi kama nyinyi Uto.
Tunarekebisha makosa tunainuka kisha tunasonga mbele.
Mbona mapemaa?Alaaaaaniwe aliyemleta Mugalu ndani ndani ya Simba. Lwanga Lwanga Lwanga mdogo wangu pona upesi Urudi kikosini. Ewe Kagere malizana visasi na Kocha urudi dimbani