NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
@Scars a.k.a mwalim Kashasha wa jf[emoji23][emoji23][emoji28]Hapana theres something extra kwa kuyu jamaa
Sakho anavyopiga vyenga na kudaivu ile miguu anavyo spin na kufanya turning za kibabe, miguu ina footwork ya hali ya juu moaka unaweza kuhisi anachezea mikono namna ilivyo flexible
Huyu jamaa ni kama anakuja kufanya kebehi na kuwakasirisha mabosi wa timu pinzani waone kama wachezaji wao hawana thamani na wameingia hasara kusajili mchezaji ambaye hana hata uwezo nusu robo ya kufanya kile anachokifanha sakho
Kwa mara ya kwanza sakho anakuja kuwaaminisha watu kwamba mpira sio mgumu kama watu ambavyo wanasema,
Na mimi pia nawapa funzo watu ambao wamekuwa na trend ya kuwa na mahaba kwa wachezaji wenu kwamba kabla hujamsifia mchezaji fulani kwamba ni mkali ebu mcheki sakho halafu ukate tamaa