Simba Sc 2-0 Selem View Fc | Mapunduzi Cup | Zanzibar

Simba Sc 2-0 Selem View Fc | Mapunduzi Cup | Zanzibar

Hapana theres something extra kwa kuyu jamaa

Sakho anavyopiga vyenga na kudaivu ile miguu anavyo spin na kufanya turning za kibabe, miguu ina footwork ya hali ya juu moaka unaweza kuhisi anachezea mikono namna ilivyo flexible

Huyu jamaa ni kama anakuja kufanya kebehi na kuwakasirisha mabosi wa timu pinzani waone kama wachezaji wao hawana thamani na wameingia hasara kusajili mchezaji ambaye hana hata uwezo nusu robo ya kufanya kile anachokifanha sakho

Kwa mara ya kwanza sakho anakuja kuwaaminisha watu kwamba mpira sio mgumu kama watu ambavyo wanasema,

Na mimi pia nawapa funzo watu ambao wamekuwa na trend ya kuwa na mahaba kwa wachezaji wenu kwamba kabla hujamsifia mchezaji fulani kwamba ni mkali ebu mcheki sakho halafu ukate tamaa
@Scars a.k.a mwalim Kashasha wa jf[emoji23][emoji23][emoji28]
 
Huyo dogo hii ni mara ya pili anafunga kwa ugoko.
 
Hili bonànza mnalitaka?
We unachati humu umechangia 29,000?

Moderator kama admini mmepewa dhamana ya kublock mashabiki wa yanga ambao hawajachangia mchango ambao umetangazwa leo

Ili member huyo apate access ya kuchat humu jukwaani tumeambiwa atume risiti ya uthibitisho wa malipo ya mchango wake

Natanguliza shukrani
 
Mechi ambazo anacheza sakho kiingilio kiwe 30,000 sisi tutachukua 1000, hiyo 29,000 inauobaki tunawachangia yanga


Hiyi ni baada ya kuona mashabiki wengi wa yanga population yao inazidi kuounguwa mitandaoni baada ya kublokiwa na maadmnin wao
 
We unachati humu umechangia 29,000?

Moderator kama admini mmepewa dhamana ya kublock mashabiki wa yanga ambao hawajachangia mchango ambao umeatangazwa leo

Ili member huyo apate access ya kuchat humu jukwaani tumeambiwa atume risiti ya uthibitisho wa malipo ya mchango wake

Natanguliza shukrani
Nmelipa sema lingine
 
Sako na Konoute wanakaa sana na mpira ndo maana off side zinatokea sana.Watu wanakuwa washatangulia kwa kasi sana.
 
Back
Top Bottom