Hii ni thread ya mpira tuna au kuna mengine labda?sizungumzii kodi ya pango ambayo naskia nayo ni baada ya kutishiwa notsi
Si mlisema ameanza kuzingua?[emoji28]Bwalyaaaaa
[emoji1787]Maramamake hilo shuti ngoja nikipata muda nitaliezea speed yake ila kwa saizi bado naifananisha speed ya kile kifaa kichotumwa mars
Si mlisema ameanza kuzingua?[emoji28]
tunataka muendelezo mzuri wa matunda yake akiwa uwanjani, so mpk aamke vizuriamini uchawi upokwan Boko anafanya nini hapo kiwanjan[emoji848][emoji848]