lwambof07
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 4,643
- 5,335
Kabisa mkuu kuna namna inabid wafanyiwe vipimo hawaMkuu,Kuna namna kwa Hawa wachezaji wetu si bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu kuna namna inabid wafanyiwe vipimo hawaMkuu,Kuna namna kwa Hawa wachezaji wetu si bure
Kha [emoji1787]ama kweli UROJO ni hatari kwa afya ya NWANAUME
Mwanzo nilijua Boko anaonewa Lakini mechi ya Leo imemuanika juani.umeona wametoka watu wa maana ye kabaki
we huoni havina hata nguvu bora kanoute ametoka maana alikuwa anawaomea bure wakaka wa forodhaniKha [emoji1787]
Huyu moukoro ndo mtamu namna hii
ngoja kwanzaAaaaaah Yupo Bhnaaaaaaa
Huyu Moukoro katokea nchi gani?
Ivory CoastHuyu Moukoro katokea nchi gani?
Boko muda wa kustaafu kwa heshima umeshawadia au ashuke chini kwenye team ndogoMwanzo nilijua Boko anaonewa Lakini mechi ya Leo imemuanika juani.
Atachukua nafasi ya Mugalu huyuHuyu moukoro ndo mtamu namna hii
Yupo vizuri sanaAtachukua nafasi ya Mugalu huyu
kuna shuti amelipiga ,ingelenga goli ingemjeruhi kipa kama kama akifuataIvory Coast
sio mbaya inahitajika damu changa pale mbele si umeona amsha amsha za SakhoAtachukua nafasi ya Mugalu huyu