Simba Sc 2-0 Selem View Fc | Mapunduzi Cup | Zanzibar

Simba Sc 2-0 Selem View Fc | Mapunduzi Cup | Zanzibar

Wakuu nawasalimia wote. Ni kitambo sijachungulia humu jamvini
 
Mechi ambazo anacheza sakho kiingilio kiwe 30,000 sisi tutachukua 1000, hiyo 29,000 inauobaki tunawachangia yanga


Hiyi ni baada ya kuona mashabiki wengi wa yanga population yao inazidi kuounguwa mitandaoni baada ya kublokiwa na maadmnin wao
haiwezekani Sakho atumbuize kwa 5,000
 
Kipindi cha kwanza nilimuina mchezajinwa selwm view akimfata sakho na kumnong'oneza kwamba "baba hili kombe tunaloshindania unaelewa kwamba ni milion 15 tu? baba naona unacheza kama umeambiwa ni bilion"
🤣🤣🤣💪💪💪💪
 
Maukolo asainishwe tu. Kasi yake imenivutia. Napenda wachezaji wenye kasi.
 
Back
Top Bottom