ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Mchezaji anaitwa Makolo[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787]weee hapana aisee[emoji12]Usimuogope huyo bhana [emoji1787][emoji1787]
Haya bhana[emoji1787][emoji1787]weee hapana aisee[emoji12]
[emoji106][emoji106]Haya bhana
Tena umenikumbusha niende Tandika kupata Urojo safi [emoji1787][emoji1787].[emoji106][emoji106]
Duh hata kama nimemchoks Lakini sijafikia kumdharau kiasi hicho.ila Boko ni mchezaji mpuuzi ligi nzima
[emoji1490][emoji1490]Duh hata kama nimemchoks Lakini sijafikia kumdharau kiasi hicho.
UROJO wa Tandika una bacteria [emoji3083][emoji3458] uleTena umenikumbusha niende Tandika kupata Urojo safi [emoji1787][emoji1787].
Upi hauna bacteria?UROJO wa Tandika una bacteria [emoji3083][emoji3458] ule
TFDA waliwakimbia walipowatembeleaUpi hauna bacteria?
Nipe mwongozo Boss .
Ooh kumbeTFDA waliwakimbia walipowatembelea
haiwezekani Sakho atumbuize kwa 5,000Mechi ambazo anacheza sakho kiingilio kiwe 30,000 sisi tutachukua 1000, hiyo 29,000 inauobaki tunawachangia yanga
Hiyi ni baada ya kuona mashabiki wengi wa yanga population yao inazidi kuounguwa mitandaoni baada ya kublokiwa na maadmnin wao
🤣🤣🤣💪💪💪💪Kipindi cha kwanza nilimuina mchezajinwa selwm view akimfata sakho na kumnong'oneza kwamba "baba hili kombe tunaloshindania unaelewa kwamba ni milion 15 tu? baba naona unacheza kama umeambiwa ni bilion"
[emoji23][emoji23]makoro hilo jina lipo mhala pakeMaukolo asainishwe tu. Kasi yake imenivutia. Napenda wachezaji wenye kasi.
Makolo mwenyewe ndio kafika sasa[emoji23][emoji23]makoro hilo jina lipo mhala pake