Simba SC 2-1 Azam FC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Simba SC 2-1 Azam FC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Azam ina beki kweli??

Sakho anafungajr hapo?
 
Sakhooooooooo
Utopolo kazi mnayo. Bado Lwanga majeruhi akirudi kikosi kitimie mtatema mate chini
 
Saizi hata ikitokea penalty simba wasuse kupiga au ikiwezekana wapige nje ya lango ili kufunga magoli ya kuhangaika
 
Huyu kibopa isije kaja na viunga unga vyake kammiminia manula asiweze kuona vizuri
 
Back
Top Bottom