Simba SC 2-1 Azam FC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Simba SC 2-1 Azam FC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Ule wa Jana na Dodoma jiji fc? Timu ambayo hata kitayose ya ligi daraja la pili wanajipigia wakitaka[emoji28]

Full time ball possession
yanga 82 Dodoma jiji fc 18[emoji28]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Huyu azamu tumempigia passi 73 kabla ya goli la 2 nenda youtube katazame huko leo wewe na mbereko juu unakosa tuta

Unabwata tu tunaupiga mwingi, nenda kaone alicho fanywa na yanga

Wewe kombe la ngao ya jamii nimekukimbiza kama mtoto, huyo Azam anayekutoa jasho Hadi mpira unaisha passi 896 na goli 2 juu
 
Huyu azamu tumempigia passi 73 kabla ya goli la 2 nenda youtube katazame huko leo wewe na mbereko juu unakosa tuta

Unabwata tu tunaupiga mwingi, nenda kaone alicho fanywa na yanga

Wewe kombe la ngao ya jamii nimekukimbuza kama mtoto huyo Azam anayekutoa jasho Hadi mpira unaisha passi 896
Mkuu mbona Azam leo anakufa ni swala la muda tu
 
Game yenu hii lakini mnakata viuno Azam washaanza kujiamini.
 
Yaani hii Simba pamoja na hii hali hawaonyeshi hata dalili ya usajili ?
 
Sasa hapa mpira ungeisha tujipange na boxing day
 
Back
Top Bottom