Simba SC 2-1 Azam FC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Vitu Adimu Kutoka kwa Osman Sakho
Kitu adimu ni tiktaka ya mayele mpaka Sasa zipo 4 tu duniani

Ya ibra kadabra

Ya rooney

Ya dinyo

Na mayele

Afanyayo sakho hajafika hata kwa dogo nkane wa biashara
 
[emoji23][emoji23] mkuu gari ndo limewaka hivyo, mliaminishwa na manara kwamba Simba mbovu [emoji23][emoji23]
We kolo kwa mpira huo waku butua butua ndio gari limewaka??? Acha tuendelee kunywa mirinda matupu tutawaachia
 
Azam msimu huu wachezaji hawana aisee. Top four sijui kama ataiambulia labda walitumie dirisha hili kuimarisha kikosi chao
Kumbuka wachezaji wake wa 3 wako kwenye timu ya taifa
 
We kolo kwa mpira huo waku butua butua ndio gari limewaka??? Acha tuendelee kunywa mirinda matupu tutawaachia
za kuambiwa changanya na zako, manara hanaga jema yupo kimaslahi tu hapo utopoloni.
 
Nadhani Kibu ni mchezaji wa hovyo kuwahi kutokea. Yaani ana heka heka nyingi lakini accuracy yake ni zero . Hana focus hata kidogo . Wachezaji kama hawa Simba isitegemee kupata matokeo na mavitu kama haya kwenye CAF MAKUNDI.

Kuna huyu Kagere nae , amekuwa Uharo, naanza kumuelewa Gomezi. Nadhani hizi takataka zikae benchi au zitolewe kwa mkopo.

Sakho anawalisha sana lakini kagere na kibu wamekuwa uharo
 
Kitu adimu ni tiktaka ya mayele mpaka Sasa zipo 4 tu duniani

Ya ibra kadabra

Ya rooney

Ya dinyo

Na mayele

Afanyayo sakho hajafika hata kwa dogo nkane wa biashara

Utopolo bwana [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sasa aliyemzaa ameingiaje tena hapa? Jifunzeni kuwa ethical mnapo changamana na watu.
Kuwa ethical maana yake Nini?! Sasa kumwambia mtu mzima ashabikie Redde ndiyo ethics hizo?! Ndiyo maana nimesema bila Shaka aliyemzaa pia anashabikia Redde...inawezekana ulimuina mzee anashabikia hiyo Redde
 
Nadhani Kibu ni mchezaji wa hovyo kuwahi kutokea. Yaani ana heka heka nyingi lakini accuracy yake ni zero . Hana focus hata kidogo . Wachezaji kama hawa Simba isitegemee kupata matokeo na mavitu kama haya kwenye CAF MAKUNDI.

Kuna huyu Kagere nae , amekuwa Uharo, naanza kumuelewa Gomezi. Nadhani hizi takataka zikae benchi au zitolewe kwa mkopo.

Sakho anawalisha sana lakini kagere na kibu wamekuwa uharo
Mkuu
Simba Wamecheza na kuonekana timu nzima ila Meddie Kagere hajaonekana kiwanjani
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani Kibu ni mchezaji wa hovyo kuwahi kutokea. Yaani ana heka heka nyingi lakini accuracy yake ni zero . Hana focus hata kidogo . Wachezaji kama hawa Simba isitegemee kupata matokeo na mavitu kama haya kwenye CAF MAKUNDI.

Kuna huyu Kagere nae , amekuwa Uharo, naanza kumuelewa Gomezi. Nadhani hizi takataka zikae benchi au zitolewe kwa mkopo.

Sakho anawalisha sana lakini kagere na kibu wamekuwa uharo
Kibu D, kuna walevi wanamringanisha na mayele akili mbovu mno
 
IMG_2977.jpg
 
Back
Top Bottom