Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kibu punguza uchoyooooi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi lakini performance ya Simba umeionaje leo [emoji23]Viporo FC mnacheza na tawi lenu mmewekewa tuta mmekosa,ila mechi yenu hii sababu lile fungu lilotengwa kwa ajili ya Viporo ndio wakati wake kutumika.
Kwani ni hiari yao?Naombea matokeo yawe 0-0
Wanakera ndio maana tumeandika kimombo...hawa wachezaji hawawezi ata kutoa pasi sahihi bwanaKwani ungeandika kiswahili ungepungukiwa nini? 😂
Mugaru ndio nani?Toa Kagere ingiza Mugaru
Kwa hiyo aliacha kwenda Arsenal akaja Simba!!??Huyu Sakho sijui kwanini Arsenal walizidiwa ujanja na Magori.
Hiki Kijamaa kimeanza umazafaka wake?Kibu punguza uchoyooooi
Mle hakuna mchezaji, ni Serunkuma aliyechangamka.Kibu punguza uchoyooooi
Fungu fungu lina ongea halafu bila kusahau, hiyo timu mnayo cheza nayo ni tawi lenu dogo.Vipi lakini performance ya Simba umeionaje leo [emoji23]
Namuhesabia kama mara mbili hvHiki ijamaa kimeanza umazafaka wake?
Unateseka ukiwa wapi ? [emoji23]Fungu fungu lina ongea halafu bila kusahau, hiyo timu mnayo cheza nayo ni tawi lenu dogo.
Matokeo yadhihirishe hilo.
Tz kuna kiwanda cha kuzalisha wajingaFungu fungu lina ongea halafu bila kusahau, hiyo timu mnayo cheza nayo ni tawi lenu dogo.