Simba SC 2-1 Azam FC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Simba SC 2-1 Azam FC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Hivi Sakho ni raia wa wapi?
Senagal..usajili wake kuja Simba ulizua maswali Sana kwenye media houses za Senegal kwamba kwannn mchezaji mwenye kipaji km yeye badala akacheze ulaya amekuja kucheza kusini mwa jangwa la Sahara tena nchi yenyewe Tanzania ambayo hata kwenye ranks za FIFA tunatia aibu[emoji28]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Viporo FC mnacheza na tawi lenu mmewekewa tuta mmekosa ila mechi yenu hii sababu lile fungu lilotengwa kwa ajili ya Viporo ndio wakati wake kutumika.
 
Back
Top Bottom