Ekuweme
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 3,520
- 3,962
Hivi Sakho ni raia wa wapi?Sema Kwa Hyu Dogo Sakho, Mm ni Yanga Ila Lem Admit Kwamba Huyu Chalii Anaujua, anajua Nini Anafanya Uwanjani Tofauti na Wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Sakho ni raia wa wapi?Sema Kwa Hyu Dogo Sakho, Mm ni Yanga Ila Lem Admit Kwamba Huyu Chalii Anaujua, anajua Nini Anafanya Uwanjani Tofauti na Wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa hapo MaliHivi Sakho ni raia wa wapi?
Kwahiyo kila mchezaji mzuri ni lazima afunge?Kafunga ngapi mpaka sasa
Wanashambulia wapi bwana weae hawa mipira yenyewe huko mbele haikai kabisa.Azam Fc wamepaki basi kiaina wanashambulia kimahesabu sana
Huyo ni introvert.Hivi huyu kanoute ni Bibi? Kuna mtu aliwahi kumshuhudia anaongea kweli?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Si umeona hapo wamepata kona?Wanashambulia wapi bwana weae hawa mipira yenyewe huko mbele haikai kabisa.
Kwa hivyo Simba anapakatwaDada binamu ajawai kuwa mgumu kwa kaka binamu.
Ngapi mpaka sasa?hivi hii ni Simba au Bayern Munich ??
Duh auto type unaweza kujikuta unatukana..Bibi=BUBUHivi huyu kanoute ni Bibi? Kuna mtu aliwahi kumshuhudia anaongea kweli?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ngapi mpaka sasa?hivi hii ni Simba au Bayern Munich ??
Ananikumbusha Wes Brown wa Man Utd zamaniHivi huyu kanoute ni Bibi? Kuna mtu aliwahi kumshuhudia anaongea kweli?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mmh sio Senegal? Nahisi atakuwa mwenzake na SADIO.Wa hapo Mali