financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Boooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaweza kuwa kweli, acha tuendelee kuangaliaTatizo maneno na propaganda za mitandaoni zinafanya muone Simba Sc kama team ya kawaida.
Na hii ni kwababu sikuhizi hatuna mpiga kelele na mropokaji wa mitandaoni.
Zitawagharimu sana leo.Daaah sikutegemea wachezaji wa Azam wangecheza faulo mbaya kama ile
Huyo dogo huwa ni muoga sana, ana kitete mpaka kakosa penalty.Kaicheza kipa
Sawa Bwalya handsome mwenye akili, naona umepata penati😏Binti mrembo ila huna akili.....
Msimu huu Simba kuna tatizo la upigaji penati
Sawa Bwalya handsome mwenye akili, naona umepata penati[emoji57]
Kuna Penati za Football na kuna Penati za GSM kama ile ya Yanga na BiasharaIngekuwa Yanga Apo Wangesema Penalty Ya Mchongo..Haha