Simba SC 2-1 Azam FC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Simba SC 2-1 Azam FC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

DK 2 zimeongezwa kuelekea kumalizika kipindi cha kwanza
 
Hawa mikia wajue nimebeti mechi itakuwa over 2.5, hela yangu ya BIA za kesho nimeiweka humo.....
 
Niteseke wapi wakati najua tayari fungu lishaongea so matokeo na yajua mnashinda hii.
[emoji23][emoji23] mkuu gari ndo limewaka hivyo, mliaminishwa na manara kwamba Simba mbovu [emoji23][emoji23]
 
Walio karibu na Onyango muambieni acheze mpira aache rafu pumbavu zake, au ametoka kunyaland kuja kutafuta ushindi kwa kuumiza wenzie?
 
[emoji23][emoji23] mkuu gari ndo limewaka hivyo, mliaminishwa na manara kwamba Simba mbovu [emoji23][emoji23]
Gari liwake wapi Viporo FC ,fungu linatembea hapo na ndio maana mnapenda sana Viporo.
 
Azam msimu huu wachezaji hawana aisee. Top four sijui kama ataiambulia labda walitumie dirisha hili kuimarisha kikosi chao
 
Azam mnataka kulazimisha makolo yashinde sio?
 
Back
Top Bottom