Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Yaan ashangae ikiwa hao wote anajipigiaga kama mbwa[emoji23][emoji23][emoji23] utopolo hawaamini
Mitoto ya kishua Azam Fc imeshiba kuku inaruka ruka tu..Simba 2 Azam 0
kuna swali lingine Handsome Boy[emoji3]
Halafu Kuna Wanasimba humu walikuwa wanasema aachwe ....yaani Watoto ambao hawaiicheza chandimu ,wameanzia Kwa kina Ronaldo na Mesi ni shida kuuHii mechi isingekuwa Nzuri Bila Sakho Kufunga
Azamu gonjwa Iyo haina dube, haina nado, haina never tigere Bado unajisifu tuUna kalamu hapo mkuu? Me Nina mate Tu nataka nibadilishe ubao wa matangazo..mbili bila bila penalti wala red card
The Kid can play.Pape Osmane Sakho the wonder kid
[emoji23][emoji1787]kwa huu msako wa Simba leo ilitakiwa nile demu mpya